Chelsea wako mbioni kumsajili kiungo wa kati wa Brighton Moises Caicedo, 21, kwa mkataba wa thamani ya pauni milioni 115 huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Ecuador akijiandaa kuitosa Liverpool.
Usa River Media0
Makubaliano kati ya Caicedo na Chelsea ni ya mkataba hadi Juni 2031 pamoja na chaguo la mwaka wa ziada, na masharti ya binafsi yalikubaliwa mwezi Mei. (Fabrizio Romano)p
Post a Comment