#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Top News

Hizi hapa namba za jezi za wachezaji wa Simba 2025/2026

 


Kilele cha Simba Day ambapo tunakitambulisha kikosi chetu ambacho tutakitumia katika mashindano yote tutakayoshiriki kwenye msimu mpya wa mashindano 2025/2026.

Kuna wachezaji wapya na wageni ambao wameingia kikosini na kila mmoja tayari amechagua namba ya jezi ambayo ataitumia katika msimu mzima wa mashindano.

Hizi hapa namba jezi za wachezaji wetu

Makipa

Moussa Camara (26)
Hussein Abel (28)
Yakoub Suleiman (22)

Walinzi

David Kameta (15)
Anthony Mligo (5)
Naby Camara (30)
Abdulazak Hamza (14)
Rushine De Reuck (23)
Karabou Chamou (2)
Vedastus Masinde (4)
Wilson Nangu (31)
Shomari Kapombe (12)

Viungo

Yusuph Kagoma (21)
Allasane Kante (8)
Awesu Awesu (33)
Morice Abraham (18)
Kibu Denis (38)
Hussein Daudi Semfuko (37)
Joshua Mutale (7)
Mzamiru Yassin (19)
Mohamed Bajaber (17)
Ladaki Chasambi (36)
Neo Gift Maema (35)
Jean Charles Ahoua (10)
Elie Mpanzu (34)

Washambuliaji

Steven Dese Mukwala (11)
Abdallah Seleman Mwalimu (40)
Jonathan Sowah (3)

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv