Ndio ni kweli ukiwa wewe ni muandishi wa habari kusoma ni kazi ya kila siku kwakua unaandaa maudhui hivyo kila kipindi utakachokifanya kitahitaji muda wa kukisoma na kuelewa kabla ya mahojiano hivyo kama kesho unafanya mahojiano na mtaalam wa afya Leo lazima some mambo utakayo zungumza hivyo kama hiyo ni kazi yako ya kila siku basi lazima usome ili uelewe unachoenda kukifanya.
Mwandishi wa habari haishi kusoma.
Cheif Editor Pj Alagwa
0
Post a Comment