''2026 Usipungukiwe Usichoke' - Evelyn Msoma

 Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Evelyn Msoma anaendelea na uinjilishaji akikuambia kua katika mwaka huu wa 2026 usipungukiwe usichoke usirudi nyuma usikate tamaa bali ufanikiwe katika kila jambo ulifanyalo na uwe na afya njema mwaka mzima.

Evelyn Msoma ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ''MBINGU ZIWE WAZI KWA AJILI YAKO USIKU MA MCHANA MWAKA MZIMAUSIPUNGUKIWE, USICHOKE ,USIRUDI NYUMA ,USIKATE TAMAA,UFANIKIWE KATIKA KILA JAMBO ULIFANYALO NA UWE NA AFYA MJEMA MWAKA MZIMA,,USIZIMIE WAKATI WA SHIDA NGUVU ZAKO NA ZIWE NYINGI'' Ameandika Evelyn Msoma 





Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv