Kampuni ya Chusa Mining LTD kupitia Mkurugenzi wake Joseph Mwakipesile, imefanikisha miradi mbalimbali ya kuwajibika kwa jamii (CSR) mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ambapo fundi ujenzi wa wodi ya wanawake na watoto katika kituo cha afya Mirerani Abdalah Said anaeleza hatua iliyopo na Katibu wa MAREMA Tawi la Mirerani Rachel Njau anaelezea miradi hiyo.
Post a Comment