Dik Barton, mpiga mbizi wa kwanza wa Uingereza kuona ajali ya Titanic, anasema eneo hilo ni "hatari" sana.
"Kuna mteremko wa ndani na mkondo wa maji ambao huzunguka. Nguvu ya chini ya maji ni ndogo," aliiambia Good Morning Britain ya ITV.
Akizungumzia kuhusu jinsi chombo hicho kingeweza kupatikana, Barton aliongeza kuwa huenda itabidi kurejeshwa ardhini kwa kuwa hakuna njia ya kuipata nyambizi hiyo chini ya bahari .

Post a Comment