Je, unatafuta sehemu bora ya kukuza vipaji vya mtoto wako katika mchezo wa soka?
*Charles Mkwasa Academy* ni academy bora ya michezo inayowapokea watoto wa Kike na wa Kiume wenye umri wa miaka 5 hadi 20. Tunatoa mafunzo ya kitaalamu, malezi ya nidhamu na mazingira salama ya kukuza vipaji.
📍 Mafunzo yanafanyika Oasis Club Africana 📝 Usajili wa watoto unaendelea sasa! Mpe mtoto wako nafasi ya kuota ndoto kubwa na kujenga mustakabali wake kupitia michezo. 📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na usajili wasiliana nasi kwa no 0718599925, 0629009595 0784316161

Post a Comment