#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Afrika Kusini: Watu 17 washukiwa kufariki kutokana na gesi inayoshukiwa kuvuja

Kikosi cha uokoaji katika kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Sibanye kimesema zaidi ya wachimba migodi 950 wamekwama chini ya mgodi wa dhahabu wa Beatrix ulioko mkoa wa Free State kilomita 300 Kusini Magharibi mwa Johannesburg .

Chanzo cha wachimba migodi hao kukwama ilitokana na radi kubwa iliopiga na umeme kukatika bada ya mvua kubwa kunyesha nyakati za usiku wakati wachimba migodi hao walipokua chini ya mgodi huo



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv