Wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine imesema watu saba wamefariki na wengine 90 kujeruhiwa baada ya Urusi kushambulia uwanja wa kati wa mji wa kaskazini wa Chernihiv, ikiwa ni pamoja na ukumbi wa michezo na chuo kikuu.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amewasili nchini Uswidi kukutana na Waziri Mkuu Ulf Kristersson, familia ya kifalme na maafisa wengine ili kuimarisha uhusiano katika mwezi wa 18 tangu Urusi kuivamia Ukraine.
.jpeg)
Post a Comment