Hapo awali ilionekana kama ni utani vile lakini leo watu wanaanza kumshuhudia Mkali Wenu akipanda jukwaani kama bondia baad aya muda mrefu kufanya uchekeshaji kama kazi yake na sasa amegeukia upande wa masubwi,
Mkali Wenu hivi karibuni ataingia ulingoni ten abaad aya pambano lake la awali aliloshinda lakini ukumbuke kuwa aliwai kupigana na moja ya waigizaji wa bongo Movie na kuibuka na ushindi
Kupitia ukurasa wake wa insta Mkali Wenu Ameandika ''Kijana Fanya Chochote Ambacho Akikufuru Mungu Na Wala Akiendi Kinyume Na Madili Ya Nchi Yetu Ilimradi Tu Upate MAOKOTO✌''

Post a Comment