#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Mchungaji Ezekiel amshambulia Diamond Platnumz kwa kutumia mahusiano ya roho na uchawi

 Mwinjilisti maarufu wa televisheni nchini Kenya Mchungaji Ezekiel Odero ameshutumu wanaume wanaowapa ujauzito wanawake kisha kuwatupa pamoja na watoto.

Katika mahubiri yake ya hivi majuzi, Mchungaji Ezekiel alitafakari changamoto wanazokabiliana nazo wale walioachwa kulea watoto peke yao, akimrejelea “msanii maarufu wa bongo fleva” ambaye ameingia kwenye vichwa vya habari kuhusu mahusiano yake.

 "Kuna msanii maarufu wa bongo ambaye ana mazoea ya kuwapa ujauzito wanawake tofauti. Amezaa watoto kadhaa na wanawake mbalimbali. Na wakati anawapenda, wasichana hawa hawajali. Wanadhani ni wao tu atachumbiana nao,” Mchungaji Ezekiel alihubiri.

Mchungaji huyo alieleza kuwa safari ya maisha ya msanii huyo imemkuta akiwa na watoto na wanawake tofauti na kisha kuachana.

“Alichukua mmoja kutoka Kenya na kumpa ujauzito kisha kumtupa. Hana roho ya ndoa."




CHANZO KENYA GHAFLA 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv