Mwimbaji wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe amezindua rasmi maandalizi ya ibada ya shukrani kutimiza miaka 20 ya huduma.
Ibada hii itaambatana na live Recording ya nyimbo kadhaa alizoziimba ndani ya miaka 20.
Itakuwa tarehe 8 December 2023 ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na @ambwenemwasongwe_ kwa number 0713619931 huku akijiandaa kutoa utaratibu wa ticket na namna ya kushiriki pamoja nae.
Post a Comment