#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Askofu Mkuu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT anayemaliza muda wake Dr. Fredrick leo amekabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser GR Sport ikiwa ni ahadi iliyoanza kufanyiwa kazi baada ya mmoja wa Waumini wa KKKT Noah Kadiva kutoa wazo hilo Kanisani Kondeni Matala Kilimanjaro katika ibada ya shukrani ya Mchungaji Eliona Kimaro April 23 2023.

Baada ya wazo hilo ambalo lilipokelewa kwa mwitikio mkubwa iliundwa Kamati ya zaidi ya Watu 62 wakiwemo Wabunge, Wanasiasa, Wafanyabiashara na Waumini wa madhehebu mbalimbali ikiwemo wa KKKT na hatimaye leo Dr. Shoo amekabidhiwa zawadi hiyo nyumbani kwake Mailisita, Moshi Kilimanjaro.
Noah Kadiva amesema gari hilo Land Cruiser GR SPORT la mwaka 2023 (zero Kilometer) limenunuliwa @Toyota.Tanzania

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv