Mwimbaji wa Kenya Nadia Mukami alinusurika kwenye ajali ya gari mnamo Jumatatu, Septemba 12, 2023.
Katika video iliyosambazwa kwenye mtandao wa Instagram, Mukami alisema alihusika kwenye ajali hiyo akiwa na mwenzake ambaye kwa sasa yuko mahututi hospitalini.
Hakutoa maelezo zaidi kuhusu mwenzake kwa heshima ya familia yake.
.jpeg)
Post a Comment