WANAFUNZI SIMANJIRO WAANZA MITIHANI YA DARASA LA SABA
Usa River Media0
Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara wameanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba.
Wakizungumza na waandishi wa habari baadhi ya walimu wakuu wameeleza kuwa wanafunzi wao wamejipanga vyema kufanya mitihani hiyo.
Post a Comment