Mtuu mmoja ahojiwa baada ya mauaji ya Mkurugenzi Mtendaji wa UnitedHealthcare
Usa River Media0
Mwanamume huyo ambaye anazuiliwa huko Pennsylvania pia alikuwa na hati ya kurasa mbili inayokashifu sekta ya afya na kupendekeza kwamba vurugu ndilo jibu, afisa wa polisi ambaye ameona hati hiyo aliiambia CNN.
Post a Comment