Shule ya Sekondari Naisinyai, iliyoko Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, imefanikiwa kufanya mahafali ya tatu ya wanafunzi wa kidato cha sita kwa mwaka 2024, ikitangaza kumaliza masomo kwa wanafunzi 290.
Hafla hiyo, iliyoshirikisha wadau mbalimbali wa elimu, ilionyesha juhudi za shule na serikali kuimarisha ubora wa elimu katika maeneo ya vijijini.

Post a Comment