Jeshi la Polisi kanda Maalum Dar Es Salam limetoa tamko kuhusu mwili uliopatikana Coco beach na kushikiliwa wa watu 4 kuhusu tuhuma za uzalilishaji huku mmoja ya akitajwa kwa jina maarufu kama Mwijaku
Mwaijaku ashikiliwa na jeshi la polisi baada ya video za tukio la unyanyasaji kwa Mwanachuo
Usa River Media
0
Post a Comment