Baada ya siku kumi ya mazungumzo, Kamati ya Uandishi wa Sheria ya Kimataifa (INC) iliyojishughulisha na kuandaa mkataba wa kisheria wa kimataifa kuhusu uchafuzi wa plastiki, ikiwa ni pamoja na mazingira ya baharini, iliahiri mapema tarehe 15 Agosti bila kufikia makubaliano juu ya maandishi ya mkataba huo.
Kamati ilikubaliana kuendelea na mazungumzo kwa siku zijazo zitakazoatangazwa. UNEP / INC

Post a Comment