#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Kwa nini unapitia Magumu kwenye maisha

 Inawezekana umewahi kupitia magumu au unapitia changamoto za maisha lakini kuna kitu nataka nikwambie, Kuna baraka na mafanikio yaliyoko mbele yako lakini kuna watu waliokuzunguka ambao hawatakiwi kunufaika na baraka hizo na kwakuwa Mungu ameona wema wako na moyo wako wa huruma na kusamehe kila muda unapokutana na makwazo basi ameamua kuwaondoa watu hao katika maisha yako kwa njia walioifata wao kwa kukusaliti kwa kuzarau kwa kuzalilisha wakijua kuwa wanakukomo lakini kumbe ni mipango ya Mungu.

Ni wakati sasa wa wewe kuona ukuu wa Mungu katika Maisha yako japo utaumia kwakuwa hawatashiriki katika Mema Hayo. Like yakoo tu inatosha kushukuru na Mungu afanye hivyo katika Ukamilifu wake.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv