#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Safari za treni ya kisasa (SGR) zinazofanyika kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma zimerejea baada ya kukwama kwa zaidi ya muda wa saa 5 kuanzia alfajiri ya leo Desemba 28, 2025.

Awali, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Shirika la Reli nchini (TRC), Fredy Mwanjala aliiambia TBC kuwa kusitishwa kwa safari hizo kumesababishwa na changamoto za kiufundi ambazo mafundi wa shirika hilo wanashughulikia.


Muda mfupi baadae, Wizara ya Uchukuzi imetoa taarifa ya kuwepo kwa hitilafu katika miundombinu ya reli ikiwemo umeme wa TANESCO zilizosababishwa na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zikiambatana na upepo mkali.

Aidha, taarifa hiyo imeeleza kuwa, mvua hizo zimesababisha athari kubwa zaidi zilizokumba maeneo mengine ikiwemo katika madaraja ya reli ya zamani (MGR), Kidete Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma.






Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv