Msanii Wa Mziki wa Bongo Flaver Puza Boy kutoka jijini Arusha anaefanya sughuli zake za mziki hapa Dar es salam amesema kuwa anatamani sana kuja kufanya kazi na Konde Boy ikiwa ni moja wa wasanii wakubwa anao wakubali hapa Tanzania
Puza Boy ametupa free style yake wakati tukifanya mahojiano nae katika eneo lake la biashara Pam village Mikocheni
Natamani sana kufanya kazi na Harmonize Konde Boy - PUZA BOY
Usa River Media
0
Tags
Bongo Flaver
Post a Comment