#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Kuwa Kama Ulivyo

 

Fundi mitambo mtangazaji mwandishi

Nikama hakuna aliyenijua

Kuwa ndogo ilkuwa ni kama kuwa mzee

Kuzarauliwa na woga wangu maisha ni kama movie

Lakini ni kama sikupewa sehemu ya kuigiza

Lakini wakati wa shida nikumrudia mama yangu

Na najua atanielewa

Wakati na miaka 16 nilimlilia mama yangu

Akaniambia kijana mdogo

Kuna muda utaanguka

Lakini unauwezo zaidi ya unavyofikiri sasa

Unajua kabisa matendo yanaongea zaidi ya maneo

Kuwa kama ulivyo

Maisha sio rahisi kama unavyofikiri

Kila mtu anamajeraha anayoyaficha

Kila mtu kuna muda anajifanya mjinga

Kuwa kama Ulivyo




Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Nasikika redio kila kitu kinabadilika nikajua nimekuwa

Kumbe ndio ukuaji wenyewe

Siwezi kusahau ulemwezi wa 3 ulikuwa wa baridi

Ndio nilijua nipo mwenyewe

 

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Lakini wakati wa shida nikumrudia mama yangu

Na najua atanielewa

Hivyo nikiwa na miaka 22 nilimlilia mama yangu

Akaniambia kijana mdogo

Kuna muda utaanguka

Lakini unauwezo zaidi ya unavyofikiri sasa

Unajua kabisa matendo yanaongea zaidi ya maneo

Kuwa kama ulivyo

Haijalishi kama utakuwa maarufu

Maisha ni bora kama utafungua moy owako

Hakuna haja ya kuwa mgumu

Kuwa tuu kama ulivyo

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Nikiongea ukweli mimi sio nilivyokuwa wanavyonijua kuna watu watacheka

Kwasababu maisha yangu sio kama waivyoyajua

Maisha yangu sio kama walivyozichukulia

Najua nini nafnya ili nifanikiwe

 

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Lakini wakati wa shida nikumrudia mama yangu

Na najua atanielewa

Hivyo nikiwa na maiaka 30 nikaongea na mama yangua akaniambia

Kuna muda utaanguka

Lakini unauwezo zaidi ya unavyofikiri sasa

Unajua kabisa matendo yanaongea zaidi ya maneo

Kuwa kama ulivyo



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv