Iko wazi kuwa mastaa kibao wanamtafuta na wengi wakiwa na kisasi kwake kutakana na mwenendo wake na namna anavyofanya kazi yake kwenye channel yake ya youtube.
Moja kati yao ambae wanaugovi na Adrew Kibe ni Mungai Eve na director wake ambae pia ni mchumba wake Trevor.
Wawili hao jana walito vitisho kuwa watachukua hatua dhidi ya Andrew Kibe .
…Acha nikuambie plan yangu. Ile siku Kibe ataland Kenya, I swear ntakuwa arrested. Na naambia mabesthe wangu hiyo kitu wanadhani na joke… Hio ni threat. Kibe afanye chenye anaeza fanya.”
Post a Comment