Lulu Diva nyimbo ya mama. Kwakifupi dada yetu diva amefanya bonge la nyimbo yani linagusa moyo kabisa ukiachilia mbali maneno yaliyopo kwenye hii nyimbo pia hisia za mwimbaji na kilo kilicho mtokea vyote ukiunganisha unaweza kujikuta unalia tena, Hongera sana dada yangu Diva
Lulu Diva I Miss You Mama
Usa River Media
0
Post a Comment