#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Kelvin Kinuthia aanza Mchakato wa Kubadilisha Jinsia, Azua Mazungumzo mtandaoni

Mtayarishaji wa mauthui ya mtandaoni wa Kenya, Kelvin Kinuthia, amezua mazungumzo tena mtandaoni baada ya kutangaza kuwa ameanza hatua za kibiolojia za kubadilisha jinsia yake. Kinuthia, anayejulikana mtandaoni sana, sasa amewasha mjadala mkubwa zaidi kuhusu hali halisi na hatari za upasuaji wa kubadilisha jinsia.

Tangazo hilo limelikabiliwa kwa mikono miwili wengine wakiunga mkono na wakimpinga lakini pia limeiwasha tena majadala muhimu: Je, upasuaji huo ni salama kwa kiwango gani, na ni mambo gani vijana wanatakiwa kujua kabla ya kuchukua hatua kubwa kama hiyo inayobadilisha maisha yao?

Ukiri wa Kinuthia kuwa ameanza mchakato wa kubadilika umefanya mazungumzo kuhusu utambulisho wa kijinsia nchini Kenya yazidi kuongezeka.


Kwa mashabiki wake, uamuzi wa Kinuthia ni uchaguzi wa kibinafsi uliojaa ujasiri, unaoonesha jitihada zake za kuishi maishani kwa njia inayomfaa zaidi. Hata hivyo, kwa wanaoikashifu, tangazo hilo linazua wasiwasi kuhusu vijana wanaoweza kuathiriwa na mienendo ya watu mashuhuri bila kuelewa kikamilifu hatari na matokeo ya muda mrefu.

Influencer huyo hajafichua kama mchakato wake unahusisha matibabu ya ndani ya nchini au ya kimataifa, lakini safari yake tayari inaangazia mgogoro wa kitamaduni kati ya uhuru wa kibinafsi na maoni ya umma nchini Kenya.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv