#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Je,Putin atatekeleza ahadi yake kumsamehe?


th

====CHMkuu wa kundi la mamluki la Wagner bado anachunguzwa na mamlaka ya Urusi licha ya Kremlin kuahidi kufuta mashtaka yote dhidi yake, kwa mujibu wa mashirika matatu makuu ya habari ya Urusi na gazeti jingine.Shirika la kijasusi la ndani la Urusi, FSB, bado lina kesi iliyofunguliwa dhidi ya Yevgeny Prigozhin, kulingana na vyanzo ambavyo havikutajwa vinazungumza na vyombo vya habari.

Chini ya makubaliano yaliyopatanishwa na kiongozi wa Belarus Alexander Lukahsenko kutatua mgogoro huo mwishoni mwa Jumamosi, Kremlin ilisema kesi ya jinai dhidi ya Prigozhin itafutwa na wapiganaji wake hawatachukuliwa hatua za kisheria.

Lakini tovuti ya Kommersant, ikinukuu chanzo kisichojulikana, ilisema uamuzi wa kuanzisha kesi ya jinai bado haujafutwa, na uchunguzi wa uasi huo unaendelea. Kiliendelea kunukuu chanzo hicho kikisema muda hautoshi wa kufunga kesi hiyo.

Ili kuwa wazi, maelezo haya yanatoka kwa vyombo vya habari vya Urusi, na bado hatujaweza kuyathibitisha kwa njia huru.

Bado haijulikani ni nini hasa maana ya mpango huo, na bado hatujasikia kutoka kwa Prigozhin au kiongozi wa Urusi Vladimir Putin.

Kiongozi wa Wagner bado hajaonekana popote.

Kremlin alisema wikendi hii kwamba alikuwa akienda Belarusi.

Prigozhin - ambaye hutoa jumbe za sauti kama kawaida yake- hadi sasa hajasema chochote.

Putin kusamehe 'usaliti'?

th

CHANZO CHA PICHA,....

Ujumbe unakinzana wa Vladimir Putin umekuwa ukizua hisia na kubadilisha mitazamo ya rais wa Urusi.

Hata hivyo, usitarajie kwamba Rais Putin atakubali kwamba mambo yalikuwa mabaya. Kukubali makosa sio mtindo wake.

Je, ni hatua gani itakayofuata ya rais wa Urusi? Kidokezo, pengine, kilikuja katika toleo la hivi punde zaidi la kipindi cha habari cha televisheni Urusi Jumapili usiku.

Akiripoti juu ya ghasia za Wagner, mtangazaji alicheza dondoo kutoka kwa mahojiano ya zamani ya Putin.

"Je, unaweza kusamehe?"

"Ndiyo. Lakini si kila kitu," Putin anajibu.

"Ni nini huwezi kusamehe?"

"Usaliti."

Iwapo Yevgeny Prigozhin alitazama mahojiano hayo hapo nyuma kabla ya uasi wake basi anajua jibu ya kile kinachoweza kumkumba katika siku zijazo endapo mkataba wake na Putin kumaliza uasi hautatekelzwa na Kremlin.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv