#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Mbappe kuondoka PSG

Klabu ya Paris St-Germain ya nchini Ufaransa huenda ikaamua kumuuza mchezaje wake Kylian Mbappe msimu huu wa joto badala ya hatari ya kumpoteza bila malipo katika muda wa mwaka mmoja, hatua hii ikija baada ya mchezaji huyo kuiambia klabu hiyo kuwa hataongeza mkataba wake.



Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu ujao akiwa na chaguo  la kuongeza mwaka mwingine katika klabu hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa, kulikuwepo  na makataa ya Julai 31 kwa Mbappe, 24, kuiambia PSG iwapo alikuwa anawazia kufanya mkataba wake upya  hadi mwaka wa 2025.

Baada ya mazungumzo ya miezi kadhaa, mchezaji huyo ameitumia klabu hiyo barua akisema hatofanya hivyo.

Mfungaji huyo bora wa PSG atakuwa huru kuondoka bila malipo mwishoni mwa msimu ujao na hatua hiyo inaweza kuwa mbinu ya kufanya mazungumzo.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv