Brian Chira Tiktoker kutoka nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo baada ya kile kinachodaiwa kumchafua Azziad,
Inaelezwa kuwa mbali na maneno mabaya aliyoyatoa kwa mwanadada huyo kupitia ukurasa wake wa Tiktok pia aliweza kutoa hadharani namba za simu za mrembo huyo huku akitaka watu wampigie

Post a Comment