#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Willy Paul avilaumu vyombo vya habari Kenya kushindwa kukuza wasanii wa Kenya

Mwanamziki kutoka nchini Kenya Will Paul amevilaumu vyombo vya habari nchini hu7ko kwa kushindwa kuonyesha na kuwashika mkono wasanii na wanamusiki wa nchi hiyo huku akidai kuwa muda wingi wamekuwa wakitangaza zaidi mziki wa nje ya nchi yao.


Kupitia post yake kwenye mitandao wa kijamii Paul ameandika kuwa kuekuwa na ukakasi katika vyombo hivyo kuwasaidia wasanii wa ndani huku akiongelea mafanikio yake aliyoyapata na mchango wake katika mziki wa Kenya ndani na nje ya nchi hiyo kuwa amekuwa wakwanza kushiriki katika ''The Shade Room pamoja na kutajwa kuwa ni nmsanii wa kwanza Africa Mashariki nkushiriki katika The Shade Room Msanii wa pili Africa Mashariki kutrend Apple Tv America 



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv