Mwimbaji wa nyimbo za injili Nchini Tanzania Hondwa Matias ameachia wimbo mpya le hii unaoitwa Mungu yu Mwema.
Katika kionjo alichokiachi Hondwa unaweza kusikia kidogo namna mwimbo huo ilivyo mzuri na ni sekunde 30 tuu ambazo mpaka tuaingi mitamboni kuandika habar hi ndio tumeweza kusikiliza
Post a Comment