Katibu Hamasa na chipukizi wa CCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Comrade Matei Damasi Siria ameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani Simanjiro
KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI ANAVYOMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI SIMANJIRO
Usa River Media
0
Post a Comment