Diwani wa Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Taiko Kuria Laizer ameishukuru Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia miradi mbalimbali ya maendeleo ya mamilioni ya fedha.
RAIS SAMIA AMEIPATIA MIRADI YA MAENDELEO NAISINYAI
Usa River Media
0
Post a Comment