Akiandika kupitia ukurasa wake wa Facebook Mb Bonnha mbunge wa jimbo la Segerea ""Tunaendelea kupanua mitandao ya barabara za ndani Jimboni Segerea na hili linajidhihirisha kwa vitendo, Barabara ya TemboMgwaza Kwa Swai Yakamilika kwa Kiwango cha Zege.
Barabara imejengwa sambamba na Mitaro ya Kupitisha maji na Taa za barabarani kwa ajili ya Usalama wa raia na mali zao. #Miundombinu #JimboLaSegerea
Post a Comment