Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es saalam, Muliro Jumanne amesema ukamataji huo umefanikiwa kutokana na operesheni kali iliyoendeshwa usiku na mchana katika Wilaya zote za Dar es salaam.
Muliro amesema “Operesehni hii maalum imeanza June 12 na mpaka sasa ina mwezi mmoja, katika operesheni hii kali baadhi ya Watu wamesalimisha silaha maeneo ya Chamanzi pale Mbagala”
Post a Comment