#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso azindua mradi wa Sh1.1 bilioni wilayani Buh...


Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amepokelewa kwa kishindo na wananchi wa Migongo wilayani Buhigwe ikiwa eneo hilo halikua na huduma ya maji na wananchi kuteseka umbali mrefu kupata huduma hiyo kwa muda mrefu.

Waziri Aweso baada ya ukaguzi wa mradi huo ameridhishwa na utekelezaji wake na kuwapongeza wahandisi wa maji RUWASA.

Mradi huo unagharimu Sh1.1 bilioni na sasa umekamilika kwa asilimia 94 na tayari unatoa huduma ya maji Kwa wananchi wa Kijiji cha Migongo.

Kukamilika kwake kutahudumia wananchi wapatao 14,242 wa Kijiji Cha Migongo.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv