Moja ya vitu ambavyo watu wengi wamekuwa wakifikiria nchini Tanzania hasa watu wenye nia ya kuanzisha vyombo vya habari kama Tv au Radio ni namna gani unaweza kuanzisha Tv au Radio kwa ubora na moja kwa moja kuanza kufanya kazi lakini pia bila kutumia gharama kubwa.
Ipo namna hii kwa mwazo tunapendekeza kuanza kwa kufanya tv au redio kupitia online platform ambao baada ya hapo utakuw umejipima na kujua kama kweli upo tayari na unauwezo huo wakuendesha chombo cha habari kwani kwa kupitia online platforms unaweza kufanya kwakua hazina gharama kubwa sana zaidi ya kuwa na internet ya hakika na pia kunabaadhi ya usajili ambao hufanyika kupitia online ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kupitia website yao hivyo tunakushauri pia upitie website ya tcra ili kujiweka sawa kabisa ili unapoanza basi uwe katika ukurasa sahihi na uhakika wa kile unacho anza kukifanya
Zipo taasisi ambazo tumefanyanazo kazi vizuri mpaka sasa zinaelekea kuanza matangazo ya Tv hapa Tanzania lakini hii ni baada ya kuanza kwa kufanya online na mafunzo mengi kwa njia za viendo


Post a Comment