Mwambaji wa nyimbo za injili Emanuel Mbasha Leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amewatambulisha waimbaji wapya wa mziki wa injili watakao fanya kazi chini ya usimamizi wa Mbasha ili kufanikisha ndoto yao ya kuitangaza injili kwa njia ya uimbaji
Post a Comment