Vijama wengi nchini Tanzania huondoka katika mikoa walio zaliwa na kukimbilia jijini Dar es salaam kwa lengo la kutafuta maisha bora kuliko yale ya mikoa walio zaliwa Je ni kweli kuwa Dar es salaam kuna maisha bora kuliko mikoani. Angalia video hii ya mjadala wa namna gani vijama hao wanavyopambana na maisha pale wanapofika Dar
KWA NINI USIJE DAR ES SALAAM
Usa River Media
0

Post a Comment