Inawezekana umewahi kusikia kuwa kuna faida kwenye mitandao ya kijamii kwa wafanya biashara na kwakua wewe ni moja ya watu hao ndio maana umeweza kufika hapa na kusoma kurashai hii na ndio unayokuitumia kukuza biashara yako.
Najua wazi unataka kubadilisha hali yako hasa ya kiuchumi ndio maana nimetumia muda wangu kukuandalia ujumbe huu ndio maana haujaenda kwingine zaidi ya kwako na kwa wale wengine ambao wana husika lakini kuna wenzao ambao wanajua njia hii na wemeanza muda sana kuitumia ndio maana unaona wamekutangulia lakini hauja chelewa kwa sababu unatakia kuanza sasa.
Vitu va kufanya kwenye account zako za mitandao ya kijamii.
01. Kuza account zako za mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Youtube na tiktok ili kupata watazamaji wengi watakao ona bidhaa unazo uza kwani mtu huvutiwa na kitu akikiona hivyo kuliko kuwaonyesha watu vitu ambavyo havikupi faida ni bora kutokuwepo kwenye mitandao hiyo kwakua unaweza ukajikuta unapotea kwa kufanya mambo ya ajabu kwakuwa hauna kitu chakukupa faida kwenye hayo maudui utakayoyaweka na hii ndio maana watu wengi ujiingiza kwenye mambo ya ajabu kupitia mitandao hiyo,
Leo nimeanza kwa hivi tuu kwakuwa naju autakuwa nasi katika hatua za kukuza biashara yako tutakufanyia graphic nzuri na zenye ubora wa hali ya juu kwakuwa tunawataalamu wenye uwezo na elimu ya juu ya unacho kihitaji Mr Nely 065545823 yupo tayari kukusaidia kufikia malengo na ubora wa kimataifa,
Lakini Mr Felix 062601749 Location atakuchukua katika hatua za kupata picha bora kwakua ni mtaalamu anaefanya kazi na watu wakubwa waliofanikiwa sana katika upande wake anao usimamia katika idara yake husika,
Kila mfanya biashara anatakuwa kuwa na picha nzuri zenye ubora kwa bidhaa anayotegemea kuitumia kwa mawazo ya biashara yoyote unayo amaini inakutoa na kubadili maisha yako wasiliana nae ni mtu muhumu sana na mwaminifu sana kwenye kazi yake pia anafanya kazi yako huku akikupitisha kula hatua ya biashara yako
Kila mfanya biashara anatakuwa kuwa na picha nzuri zenye ubora kwa bidhaa anayotegemea kuitumia kwa mawazo ya biashara yoyote unayo amaini inakutoa na kubadili maisha yako wasiliana nae ni mtu muhumu sana na mwaminifu sana kwenye kazi yake pia anafanya kazi yako huku akikupitisha kula hatua ya biashara yako




Post a Comment