Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro alitangaza kuwa walinzi wake wameharibu gunia saba za muguka Jumanne jioni, Mei 28 Haya yanajiri saa chache baada ya Rais William Ruto kufichua kuwa alizungumz naye (Mung'aro) na magavana wengine wawili wa pwani kwa njia ya simu kuhusu kuondolewa kwa marufuku ya mmea huo Gavana huyo alisema hatua yake imetokana na azimio la kuwaepusha watoto na vizazi dhidi ya athari za matumizi ya dawa za kulevya
Kaunti ya Kilifi Yateketeza Magunia 7 ya Muguka Licha ya William Ruto Kuingilia kati Kufuta Marufuku
Usa River Media
0
Post a Comment