Katika jitihada za kujenga taifa TRA imefanya mafunzo maalum kwa waandishi wa habari za kimtandao nchini Tanzania kupitia jukwaa la Jumikita ikiwa ni juhudi za kufikikisha elimu na umuhimu wa kodi kwa maendeleo ha nchi ikiwa kwa sasa dunia imegeukia mfumo wa kidigitali.
Akizungumza katika semina hiyo Kamshna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata amesema taarifa mbalimbali zinawafikia watu kwa haraka hasa za kwenye mitandao hivyo ni vizuri pia waandishi wa habari za mitandao kuandika mambo yanayojenga nchi
Kaa kijanja hakiki kinywaji chako ni moja ya kauli zilizotumika katika semina hii wakati wa mwezeshaji alipofundisha matumizi ya app ya TRA inayoitea Hakiki Stemp ya TRA
Post a Comment