Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manyara Peter Toima ambaye alikuwa mgeni rasmi wa kusimikwa Diwani huyo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Simanjiro Kiria Laizer, mbunge wa Kiteto Wakili msomi Edward Ole Lekaita na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka wanazungumza kwenye tukio hilo.
WAFUGAJI MSIWASIKILIZE WANASIASA WANAOWACHONGANISHA NA SERIKALI - LENGANASA
Usa River Media
0
Post a Comment