Wenyeviti wa vitongoji na vijiji vya kata za Mirerani, Endiamtu, Naisinyai na Shambarai Tarafa ya Moipo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameapishwa kutumikia nafasi hizo kwa muda wa miaka mitano.
WENYEVITI TARAFA YA MOIPO SIMANJIRO WAAPISHWA
Usa River Media
0
Post a Comment