Wilaya ya Arumeru inayoundwa na Halmashauri mbili, Meru Dc ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Mwl. Zainabu Makwinya na Arusha Dc ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Suleiman Msumi imekuwa Wilaya ya pekee kutokea Mkoa wa Arusha kushiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma yanayofanyika Mkoani Dodoma.Maadhimisho hayo yamefunguliwa Leo rasmi na Mhe. George Boniface Simbachawene Waziri Menejimenti ya Utumishi wa Umma
MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA
Usa River Media
0

Post a Comment