#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

SIMBA YAMKATAA AUGUSTINE OKEJEPHA: Kiungo Mkabaji wa Nigeria Aondoka Baada ya Mkataba

Kupitia mtangao wa Clabu ya Simba nchini tanzania wameweka wazi kuwa hawataendelea na Oke taarifa hiyo imekuja wakati ambao bado wanamsimbazi wanajitafuta baada ya kukosa ubingwa msimu huu.


Baada ya makubaliano ya pande mbili kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Augustine Okejepha hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi 2025/2026.

Okejepha 25, amejiunga nasi msimu uliopita akitokea Rivers United ya nchini kwao Nigeria kwa mkataba wa miaka miwili ambao umefikia tamati baada ya makubaliano.

Okejepha ni mchezaji mwenye uwezo na kipaji kikubwa ingawa hakuweza kupata muda mwingi wa kucheza.

Simba inamtakia kheri na mafanikio mema katika maisha yake mapya nje ya kikosi chetu.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv