Hayati Job Ndugai Aagwa kwa Heshima Kongwa, Azikwa Kijiji cha Madumbwa
Usa River Media0
Mamia ya waombolezaji wakiwemo waumini, viongozi wa serikali na vyama vya siasa wameungana katika Kanisa la Mtakatifu Michael Anglikana, Kongwa, kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mbunge wa Kongwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, Hayati Job Ndugai.
Post a Comment