Faima Shuttle Bus Service inafurahia kuwatangazia wateja wake waaminifu na umma kwa ujumla uzinduzi wa rasmi wa huduma zake za kubebea na kupokea abiria wa treni ya SGR kuanzia Jumatatu, tarehe 15 Septemba, 2025.
Huduma hii mpya ya kipekee imekusudiwa kuwasaidia kwa vyema abiria wanaotumia treni ya SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma, ikivaunganisha kwa urahisisho na usahihi wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali ya mijini.
Post a Comment