Mwimbaji wa Nyimbo za injili Emmaneuel Mbasha amtembelea Mh Nchimbi nyumbani kwake na kuzungumza nae.
Usa River Media0
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Emmaneuel Mbasha, amtembelea Mh Nchimbi nyumbani kwake na kuzungumza nae.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Mbasha ameandika "Nikiwa na MGOMBEA MWENZA NA MAKAMU WA RAIS AJAE MWAMBA KABISAAAAA MHE NCHIMBI.nyumbani kwake ..MUNGU AMTUNZE ZAIDI KWA AJIRI YA TAIFA LETU'' ameandika Masha
Post a Comment