Rais wa Marekani Donald Trump ambaye awali alimtaja meya mteule wa NYC Zohran Mamdani kuwa ni “mwendawazimu mkoministi” alionekana akipendezwa naye alipomtembelea Ikulu ya White House.
Mwingiliano na uhusiano kati ya viongozi hao wawili umeenea kwa kasi mitandaoni na kuchochea uvumi wa memes kama kichekesho kutokana na kauli za awali za Trump.

Post a Comment